benbry Senior Member Joined Apr 3, 2012 Posts 183 Reaction score 55 Aug 2, 2019 #1 Naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kupata cheti kingine. Nimepoteza cheti cha degree kilichotolewa na Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Anayejua utaratibu naomba msaada.
Naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kupata cheti kingine. Nimepoteza cheti cha degree kilichotolewa na Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Anayejua utaratibu naomba msaada.