Upo unaota nini usiku huu?

I dreamt that my close friends are snitching on me
 
mejamba halafu wenzangu wakahisi harufu ila mimi sijahisi harufu
 
Nimeota Lipumba ndio rais wa nchi. Makonda yuko Segerea kwa kosa la kuwadhalilisha viongozi waliostaafu hala Makonda ni kijana wa nyapara. Ndio anatumwa tumwa na nyapara, anakula vinono vya Nyapara na hata usiku wanalala pamoja. Chalamila amekua mhuni anagongea watu fegi.
 
Ni bata tu, hakuna jipya zaidi ya kuota nakula bata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…