Heyu kocha hana mvuto toka mwanzo, alivyooamza kandarasi yake pale Old Trafford, inaonyesha wachezaji, mashabiki na hata timu pinzani wamegundu kuwa huyu Jamaa ana uwezo mdogo! Kazi ya kocha kwenye timu kama man kubwa siyo kufundisha mpira, ni kuleta mfumo mzuri na kuwajenga wachezaji kisaikolojia. Tunakoenda timu itafungwa sana! Man timu kubwa lazima itafute kocha mwenye jina kubwa! Ambaye ataongeza morali ya wachezaji.
Angepewa nafasi Rafa Benitez Maudes a.k.a Mtikila au wangetua Thiago Alcantara,Cesc Fabregas i Soler au watue Xabier Alonso Olano au Koke ningeweka ushabiki Man Utd na mafanikio yangeonekana kuliko sasa SAF anakumbukwa,Moyes si mbaya ila kila mtu kocha sasa pale OT anaingiliwa,wapishi wengi wanaharibu chakula,aliwahi kusema Anceloti pale Chelsea kuwa yeye tofauti na SAF Man Utd ana sauti haingiliwi kuliko yeye wakati ule Stamford darajani alikuwa anaingiliwa kupanga listi hadi na wachezaji wakongwe ndio hali halisi iliyopo sasa kwa David Moyes pale Old Trafford.
Anceloti alikuwa anawanyamazisha kuwa kabeba ucl akiwa mchezaji mara 2 na akiwa kocha mara 2 na kupoteza 1 final ucl akiwa na AC Milan,ndio maana alikuwa anawapa makavu hajali hata akifukuzwa sambamba na Benitez Mtikila, so alikuwa anawanyamazisha kwa rekodi hiyo,sasa Mo yes inakuwa ngumu kujivunia kwake zaidi ya kuonekana Mo NoCarlo Ancelotti alikuwa "anaingiliwa kupanga listi hadi na wachezaji wakongwe" lakini alichukua ubingwa wa Uingereza mwaka 2010. Vipi Moyes ataweza?
Ahaa! Kumbe "alikuwa anawanyamazisha"? Sasa basi hawakuwa wanamwingilia ila huenda walikuwa wanamshauri kwa sababu kila kijiji kina wazee wake. JT & LAMPARD wanaijua Chelsea kuliko Carlo Ancelotti.Anceloti alikuwa anawanyamazisha kuwa kabeba ucl akiwa mchezaji mara 2 na akiwa kocha mara 2 na kupoteza 1 final ucl akiwa na AC Milan,ndio maana alikuwa anawapa makavu hajali hata akifukuzwa sambamba na Benitez Mtikila, so alikuwa anawanyamazisha kwa rekodi hiyo,sasa Mo yes inakuwa ngumu kujivunia kwake zaidi ya kuonekana Mo No
Jana usiku ndio nilichoka kabisa. Kocha anamuona mtu kama Welbeck yuko off the pitch kabisa, hafanyi kitu chochote uwanjani halafu eti anamuacha acheze dakika zote 90 huku akimtoa Valencia aliyekuwa anapigana kupeleka pasi halafu zinakosa muunganishaji. Yaani dakika zote 90 alipiga shuti moja hafifu langoni.
Moyes must go.
Tiba
Kama Moyes atabaki hadi mwisho wa msimu mtakuwa mkijitahidi mtakuwa #8
Hujanielewa mkuu,bora tuishie hapa isionekane ligi na ushabiki.Ahaa! Kumbe "alikuwa anawanyamazisha"? Sasa basi hawakuwa wanamwingilia ila huenda walikuwa wanamshauri kwa sababu kila kijiji kina wazee wake. JT & LAMPARD wanaijua Chelsea kuliko Carlo Ancelotti.
Mimi niliposikia tu ameteuliwa niliishiwa kabisa nguvu.... nilitegemea Mourinho ndio ataiweza nafasi hiyo... Moyes hana record ya maana vikombe kwake ni nuksi... yaani huwa hapati... ni sawa na Dereva wa baiskeli kumpa Ferrari aendeshe kwenye mashindano ya maana F1
ngoja nikuwekee takwimu za babu fergy na mo no..Vipi mashabiki, mambo, habari za leo, ni Siku nyingine murwa kabisa , natumai kila mmoja ni bukheri wa afya......Hivi nimesikia fununu na hata baadhi ya vyombo vya habari vikisema kuwa Manchester United huenda ikamfuta kazi kocha David Moyes kwa matokeo mabaya ya MAN U..........Naye Moyes amekuwa akiwalalaumu Marefa kwa mchezo mbovu wa wachezaji wake.....kama shabiki wa Man U unasemaje kwa hili? Ni sawa Moyes atimulie au apewe muda zaidi wa kuimarisha timu? Ne matokeo mazuri ya timu yanategemea kocha pekee?
Mimi ninachojua na kuamini, Moyes amepata umeneja pale oldtrafodi kwa mgogo wa mzee Fagasoni. Na kapata kwa kuwa tu ni mscotish kama mzee Fagasoni.
Kiukweli Moyes hana hata uwezo wa kumfikia babu Redknap aliyekuwa spurs. Angalia Evarton ya martinez na yake kuna tofauti ya mbingu na ardhi.
Moyes yupo pale kwa kuwa tu ni mskotishi, timu ni kubwa kwake na wachezaji ni maarufu kuliko yeye.
Mwantesa united