TFF inafeli wapi mbona mambo kama hayaeleweki hivi. Leo wamefanya kituko bendera zimekosewa kuwekwa imewalazimu timu kukaa kinyume na protocal za mpira wa miguu hari iliyopelekea kukosekana maelewano kati ya wageni na wenyeji wao. Juzi ngao ya jamii ilikosewa, leo tena mechi ya kimataifa maandalizi hatuwezi.... What's wrong with you people?