Mpunumpunyenye
Senior Member
- Dec 7, 2011
- 114
- 50
Kwa hiyo unataka tubadili mfumo wetu tuufanye uwe ki-diamond au Mayweather c ndio?! Ukikubali kusoma nchini lazima ufuate kanuni na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika za kusimamia Elimu ktk ngazi husika. Huo u-diamond wako upeleke huko huko. Kesho usije ukatuletea Uzarina hapa
Kabla hujaomba chuo kuna haja ya kuangalia chuo unachaohitaji na sifa zake vya kutosha, ndio maana na chuo lazima kikague sifa zako ili kukukubali kwenye chuo chao, sasa kama sifa zako ndizo zilizokupeleka huko then unalaumu nini? Hicho hicho chuo chenye uozo wenye mamlaka ya ku rank vyuo jvikuu wamekiwepo kiwe cha 15 kati ya vyuo zaidi ya 60 Tanzania kwa takwimu za karibuni, sasa sidhani kama wewe upo sahihi kuliko wao
Hii kali...hiki chuo nasikia kuna mwl mmoja wa masomo ya sayansi anafundisha madarasa yote first year hadi third year kozi zaidi ya tisa kwa muhula...anawezaje..lazima atakuwa chini ya kiwango na atagawa A tu ili apendwe na wanafunzi....hii ni hatari

Uingizwaji wa wanafunzi wasio na sifa kusoma, katika hili chuo hiki kimekuwa kikichukua wanafunzi wasio na sifa za kujiunga kimasomo totauti na taratibu za wizara, kwa mfano wanafunzi wanaoingia kusoma certificate wengine hata elimu ya secondary hawajasoma
Diploma ndio balaa kuna ambao wanaingia wakiwa na D 3 tu za form 4 bila ya kuwa na cheti kingine chochote
UCHAKACHUAJI WA MATOKEO
Kumekuwa na tabia wa wafanyakazi na walimu kupewa rushwa za pesa na ngono ili kuwapa marks wanafunzi wanaofeli kwa mfano kuna mwalimu anaitwa imma wa masomo ya IT huyu amekuw kinara wa kuchakachua matokeo kuna wanafunzi hasa wa diploma tangu wanaanza chuo wamefeli masomo yote kila semester lakini wamemaliza wakiwa na vyeti.
MWISHO
Ninaomba serikali kupitia wizara na idara husika kufanya uchunguzi hata kidogo ili kuepusha janga hili linaloletwa na chuo hiki.
Tatizo Wa Tanzania tunakariri Sana.kuna dogo alisomaga Diploma DIT.alipoenda China akasoma masters karudi mwajiri wake anasema ataitambua masters yake pale atakapoleta Chet cha bachelor. Kupata D au ata F Tanzania sio kama mtu Ana akili.Mazingira yakiwa mazuri mtu aliepata D au F anaweza Fanya vizuri tu.
Last week Diamond just std seven na My Whether ambae ata kusoma ajui wametengeneza mamillions ambayo wenye ma PhD ata wakipewa 100 years ya kufanya kazi awatoweza yapata.tafakari chukua hatua