Z ze seeker JF-Expert Member Joined May 7, 2015 Posts 336 Reaction score 91 Oct 16, 2017 #1 Mambo,Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu kwenye chuo husika hapo juu,kwa yoyote aliechaguliwa au anataka kujua kuhusu hicho chuo uliza,karibuni
Mambo,Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu kwenye chuo husika hapo juu,kwa yoyote aliechaguliwa au anataka kujua kuhusu hicho chuo uliza,karibuni
Yorke JF-Expert Member Joined Jun 9, 2017 Posts 236 Reaction score 260 Oct 16, 2017 #2 Hicho chuo nasikia kusoma Bible ni lazima