Du siku hizi hawa jamaa wanaua~yaani Visa $750 nakumbuka miaka ya 90's ilikuwa less than $300!.Matapeli hao mkuu green card inalipiwa fees kwenye Visa interview ambayo ni stage ya mwisho kabisa upewe visa na kuondoka. Tena fee yake ni$ 750 kwa mwaka jana ilikuwa. Halafu matokeo hayatolewi kwa email never, utatumiwa barua ya notification kwa adress yako. Halafu matokeo ya sasa yatatoka May 1 so kuanzia hapo ndo barua zitaanza kutumia
Kwa details zaidi nenda Electronic Diversity Visa Lottery utaona kila kitu na kujifunza process nzima
Ahsante
Du siku hizi hawa jamaa wanaua~yaani Visa $750 nakumbuka miaka ya 90's ilikuwa less than $300!.
Hod humu ndani!
natumaini wote ni wazima kwa uwezo wa aliye juuu!(mola).
ni hivi waungwana, us department imenitumia e-mail kuwa nimechaguliwa kwenye hiyo permit tajwa hapo juu baada kufanyika random selection lakini pia niliwahi kujiunga kipindi falni maana wamenitumia ip adress ya compter yangu na tarehe niliyojiunga. mimi nilishasahau si mnajua mambo ya kusarf net.
SWALI LANGU SASA NI HIVI?
KWA WENYE UZOEFU HIKI KITU KIPO NA JE NI VALID AU NDO MAMBO YA KUTAKA KUNITAPELI? MAANA WAMESEMA INABIDI ULIPIE KAMA $440= Tsh 660,000/=
naomba kuwasilisha.