Ndugu kwa hiyo ya Kasulu nilisikia mtu amenambia amefanya coz tulikutana anae kwenye interview ya ile post ya Dar-Associate protection Officer tulliitwa interview tar 9 Mwezi huu ,it was written lakin hadi leo majibu hatujapewaaaaa.tulikuwa kumi na kila mtu ana CV babu kubwa..wenye masterz hayaaaaaa,mawakili hayaaaaaaaaaaa..lets wait n c who wil b shortlisted for oral tho tetesi kuna mtu tayar yuko likely kupata(alishawah kufanya miaka ya nyuma)..Tanzania zaidi uijuavyo so tuendelee kuwa na subiraaaa
Hapo kwenye red Mkuu ndo huwa hivyo mara nyingi waliowahi kufanya na any UN Agency huwa wanapewa kipaumbele. Hivyo msijeshangaa mkawa wasindikizaji, wala hapana upendeleo wa kindugu kama ilivyo kwenye taasisi zingine za kibongo!
mbona mfumo km wamebadili vile, UN walikuwa wanawafanyisha written na oral zikiwa zinafata na wanajumlisha markx zote ndo wanampa m2 job, sasa leo written inasubiliwa mwezi mzima?
Wametuma email juzi tar 24 for oral interview saa tano tar 31 January..mi nimetoswaaaaa.clasmates zangu wawil walishawah fany ahuko wametumiwa email.ndo wakanijulisha nami nichek ,kuchek holaaaaaaaaa..though i was xpecting kitu kama hicho coz walikuwepo wtu kama wanne ambao waliwah fanya huko before..so kutuita kumi for written ilikuwa ku justify kwamba waliita wengi!!but tunaendelea kubanana
kaka sasa hao unao wasema walioitwa ni kwa kazi ipi, ya kasulu kigoma au dar ulyankhulu?
kaka sasa hao unao wasema walioitwa ni kwa kazi ipi, ya kasulu kigoma au dar ulyankhulu?