duh, nina bahati mie sio msela.
duh, nina bahati mie sio msela.
Nyie watoto wa serelaki na daipa mna shida kweli...............Haya maneno tuliyaongea sisi wa manzese,magomeni,tandika,keko,mabatini, Igoma nk. Msela nondo maana yake ni msela mkakis
Nyie watoto wa serelaki na daipa mna shida kweli...............Haya maneno tuliyaongea sisi wa manzese,magomeni,tandika,keko,mabatini, Igoma nk. Msela nondo maana yake ni msela mkakis
hapo ndo umemuacha kabisa
Umeonaeeh yaani mada yenyewe sijaielewa manake imeandikwa kwa lugha ya kitumwa afu yeye tena anazidi kunichanganya!
ka lugha ya kitumwa ume-log in vipi na umejuaje hapa ni pa kuandika neno la siri?
sweetlady Ni hivi mpinga ndinga huko U.K kwa name la Walcott kapigwa na mshangao na mapokezi waliyoyapata huko kwa kuku wa kienyeji mashariki ya mbali, lakini lililotokea majira ya joto balaa:
Demu aliyekuwa anaangalia ndinga kila wakati hapo kwenye kilinge cha mazoezi kamwambia (walcott) kuwa kibuzi chake huko skani kinasema kinanampenda Walcott kuliko anavyompenda yeye (yaani mshori) upo hapo!
1. Ahsante haitoshi....nipe busu kidogo
2. Sasa kama imekutokea wewe ungefanyaje......msela anamfagilia Mgosi au Samatta kuliko wewe!!
:busu:busu:busu......yametosha au niongeze mengine?
Kama ni mimi jamaa itabidi afafanue anamaanisha nini!
:busu:busu:busu......yametosha au niongeze mengine?
Kama ni mimi jamaa itabidi afafanue anamaanisha nini!
Jamaa amekuingiza chaka, ukweli ni kwamba boyfriend wa binti ndo kamwambia Walcott kuwa "Demu wake anampenda Walcott kuliko anavyompenda yeye (boyfriend wake))"
Sasa wewe ndo ungekuwa yule jamaa ambaye msichana wake kamwambia kuwa anampenda Walcott kuliko yeye ungefanyaje?
busu latosha.........ila hilo jingine tafakari