Mara zote humu mtafutaji pia anakuwa hayupo tayari kwa kina zaidi mtu anatumia muda wake kuandika kitu lakini huwa anafanya utani was kujaribu kweli nitapata?Kama unaroho nyepesi huwezi thubutu kutafuta mchumba/ mpenzi/ rafiki mtandaoni hasa humu JF, kila nikisoma comments za wapambe ambao majority wanakuwa hawapo interested na ujumbe wako lengo lao kuu linakuwa ni kutaka kukutoa jasho ama wengine wanataka wakutoe nishai tu.
Mkisikia watu wamejinyonga ama kunywa sumu kisa malavidavi mjue kwa namna fulani mnaweza kuwa mmechangia, mtu unakuta ameshindwa kuwaface warembo wa mtaa akaona kaupenyo huku akatangaza nia, woh woh woh! Badala ya kupokea PM shazi anajikuta yupo na comments shazi ambazo mala nyingi huwa ni disappointments.
So naconclude kwamba mpaka umejitosa kusaka piece au msela lazima uwe umejifunga kibwewe cha lawama, ya Mungu mengi unaweza jikuta umeopoa goma lako kiutani utani tu.
It's now or never. ..
Pole sana kaka, inaonekana kabisa kuwa unaongea kutokana na experience iliyokukuta baada ya PM zako kukosa mafanikio, shit happens kaka, nasikia kuna watu wamefunga mpaka ndoa kutokea humu humu. ... mtaftaji hachoki, usikatishwe tamaa na huyo unayesema anafanya mzaha, PM wengineMara zote humu mtafutaji pia anakuwa hayupo tayari kwa kina zaidi mtu anatumia muda wake kuandika kitu lakini huwa anafanya utani was kujaribu kweli nitapata?
Unapo PM wala hana muda zaidi ya kuangalia wangapi same pm kwake huwa anafaja juu mzaha wake
SitesekiKwani unateseka? Ni kama Wewe hujanisikia vile au nawe ni mlalamikaji kama mie?
Sidhani kama wapo ambao wametokana humu na wameweza kuwa katika na kama wapo Mimi niwape kongole nyingi sanaPole sana kaka, inaonekana kabisa kuwa unaongea kutokana na experience iliyokukuta baada ya PM zako kukosa mafanikio, shit happens kaka, nasikia kuna watu wamefunga mpaka ndoa kutokea humu humu. ... mtaftaji hachoki, usikatishwe tamaa na huyo unayesema anafanya mzaha, PM wengine
Hatari sana hii, wanasahau elimu inajukwaa lake hukoSidhani kama wapo ambao wametokana humu na wameweza kuwa katika na kama wapo Mimi niwape kongole nyingi sana
Mara nyingi humu watafutaji wanatafuta elimu sio wenza kwa ajili ya maisha kama wanavyojinadi
Changamoto za baazi ya wachangiaji huwa ni Padua kichwa lakini hii isifanye mwingine kushindwa kufikia pale anataka Mimi niseme iliyokweli watz tumejaaliwa utapeli na hii ndiyo inapelekea hadi tunaigiza kwenye maisha yetuNalalamika cause staki nife na tie shingoni, humu ndani kuna watu wanakatisha tamaa sana. Hopefully wameelewa
Nimekuelewa sana mama afrika THAD, inavyoonyesha unahekima mithili ya mfalme selemani na busara kama za nyoka. Nitauzingatia ushauri wako.Comments za wanajamvi zisikutishe mzee baba, wakati baadhi wanaponda kwenye uzi kuna wengine wanakuwa busy kwenye vyumba vya PM. Nionavyo mimi ni heri utafutapo uje na i'd ya zamani kuliko kuja na i'd mpya isiyofahamika na wengi.
Ila yote katika yote, utafutapo mwenza/rafiki mtandaoni yakupasa uwe mjanja kama sungura, mwerevu kama nyoka na muoga kama kunguru vinginevyo unawezajikuta unaichukia JF mazima.
Si ndio mzee mkubwa! Uwekezaji unaowekwa kwenye soka la bongo ungehamishiwa kwenye bongo movies ama hakika kina wede sepede wangeikalisha Hollywood, Bollywood na taka taka zote. Maigizo bongo ni zaidi ya Chuo kikuu, chukulia mfano Amber Rose ametuzalishia kina Amber lulu, Amber Ruth ambao skendo zao mwanzilishi hata robo hanusi. ..Changamoto za baazi ya wachangiaji huwa ni Padua kichwa lakini hii isifanye mwingine kushindwa kufikia pale anataka Mimi niseme iliyokweli watz tumejaaliwa utapeli na hii ndiyo inapelekea hadi tunaigiza kwenye maisha yetu
Maisha ambayo inatakiwa tuishi kwa uhalisia wetu sisi tunayaigiza hapa kamwe hatufikii lengo