We ni mfanyabiashara?
Una biashara yako ambayo unatamani kuikuza? Unataka kuitangaza ijulikane zaidi?
Or
Una huduma yoyote unayotoa unataka uitangaze mtandaoni??
Or
We ni mjasiriamali mwenye kutaka kuanzisha biashara lakini huna enough budget for matangazo???
Or
Una chochote kile ambacho ungependa kukiuza?