Unataka kujua umri wa Bujibuji?? Pitia hapa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,891
155,906
Bujibuji amezaliwa enzi za chama kimoja,
kaunda sana magari ya waya,
kacheza sana vinyengo, madaso a.k.a chandimu.
Kala sana kabunguja, na magili ya samaki.
Katumia sana maneno tekude, kishtobe, gashi, kumaanisha wanasichana.
katumia sana maneno ndata, mwela, boykaka, kumaanisha polisi.
Nimetumia sana misamiati ya kudinyanyana, kufanya matusi, kurukia etc kwa maana ya kufulungunyuka
kanywa sana pawa namba wani, nyuki ya dokta, ila hakubahatika kunywa kadansana.
Ahhh nimetaja kadansana tayari stimu zimepanda na nimesha sahau nilichikuwa naandika
 
duh kweli bana!coz kuna maneno umetumia umeniacha njia panda
 

Heh ha aha aha aha kweli wewe wa kitambo ingawa hili neno still linatumika.:A S thumbs_up:
 

Ulitokea usingizini nini,ndipo ukaandika haya?
 

Bila shaka Bujjie aliishi Arusha wakati wa udogo wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…