Unatafuta ajira? Njoo tuungane

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,300
Wakuu habari za muda huu

Ninaproject naomba niwashilikishe ndugu zangu, ambapo mwisho wa siku tutapata ajira sisi sote, project inahusu utengenezaji na uandaaji wa program za masomo mbali mbali kuazia awali hadi kidato cha nne,kwa phase mbali mbali, kwa kuanzia tutaanza kwa shule ya msingi hadi sekondar kwa upande wa masomo ya sayansi tu.

Hivyo nimefanya utafiti wa masoko na piaa utafiti wa gharama za awali kwa kuanzia hadi kufikia stage ya kupata master ya kazi yetu,kwa maana shooting,editing hadi kulewa master ya kazi yetu na kuwekewa security yabkutocopy mtu.

Gharama mpaka mzigo unakamilika ni milioni moja mpaka tunapata master ya CD zetu, kwa sasa gharama ni kubwa kwangu Mimi,nikaona nishilikishe ndugu zangu,tufanye wote project hii kwa kuhitaji watu 7-10 ambao watachangia laki moja moja,kwa kila memba.

Fada utakayoipata:
Utapata ajira ya moja wa moja kwa maana tutafungua kampuni kwa ujumla,utakuwa msimamizi wa moja husika kwa maana baada ya muda tutagawana mikoani kwa ajili ya kufanya masomo na kufungua ofisi zingine, utapat gawio la kila muda muafaka kutoka kwenye kampuni,utakuwa miongoni mwa waanzikishi wa kampuni hii.

Wanaohitajika ni walimu waliosomea masomo ya sayansi kwa sekondari na English pia, nahitaji walimu shule ya msingi ambao wanafahamu masomo ya sayansi kwa shule za msingi, kwa walimu wa art sijawasahau na nyiny nawahitaji kwa maana mikoa ipo mingi ya kusimamia hii project, wanahitaji sana.

Lakini pia kuna wengine sio walimu wapo fani mbali mbali wanahitaji kuwekeza hii project karibuni sana maana tunaweza kufanya hii project kwa kuwaajiri walimu kisha tukasimamia wenyew kazi baada ya kumalizika.

Masoko yapo ya kutosha sana maana kunauhitaji wa walimu kwenye masomo haya nchi nzimaa,hivyo wazazi hawatakuwa na shida kwenye kutoa pesa,kama wananunua series hawawezi kushindwa hapaa.

Gharama ni iila memba ataweza kuchangia kiasi cha laki moja ili tufikie lengo, kwa wale ambao wamevutiwa na project hii,naomba tuwasiliane kwa namba hii 0757994417, au PM, kwa lengo la kupanga wapi pa kukutana ili tuanze safari hii,

NB: Naomba watakaonitafuta wawewanishi Dar kwamaana itakuwa rahisi kukutana.
 
Ni wazo zuri.
Amini ninachokuambia kuna maeneo ktk nchi hii hakuna narudia tena hakuna shule wala walimu kuanzia shule ya msingi na sekondari lakini wanahitaji elimu ili iwasaidie ktk maeneo waliyopo. Mfano wa maeneo yenye sifa hizo ni mikoa iliyokuwa karibu na hifadhi (aidha wanyama pori au misitu) hapa nchini.
Hasahasa ni mikoa iliyopembezoni mwa nchi na katikati ya nchi.
Mnaweza mkajiajiri mkienda huko tena wananchi wapo tayari kugharamia kuwalipia watoto wao.
 
Hakika umefanya elimu yako kuwa mtaji, hongera sana kwa ilo
 
Kaka Mimi Niko tayari Kaka tupambane ni mwalimu mzuri was physics na mathematics pia nafundisha chemistry vizuri kwa level zote
 
bado watu 4, so karibu Sanaaa, Pm au text au call.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…