tatizo la extended family hilo. Ukimsaidia mdogo wako sio lazima ukae nae, unaweza kumsaidia akiwa mbali pia, hii inaleta tafsiri zisizotarajiwa kwani unless uwe unaigiza lakini kwenye majambozi hisia hazizuiliki.
Jamani unapojiunga jaribu hata kuvuta pumzi kidogo! changia changia mabandiko ya wengine! leo leo na stori ya kitoto toto! manake nkisema ya kutunga ntakua sijakutendea haki!