Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Hujachelewa jomonii hata kesho si ipo..Sasa mbona nishaivisha, ungeleta bandiko mapema basi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Njoo nifanyie practical maelezo pekee hàyatoshiHujachelewa jomonii hata kesho si ipo..
Sijapiga picha,.kuhofia mteja wangu kuwa humu pia..japo nilitamani kuweka.Hakuna hata picha ya vitu vyote hivyo!!
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh.
Nije kukufanyia wapi😋Njoo nifanyie practical maelezo pekee hàyatoshi
Huku kwanguNije kukufanyia wapi[emoji39]
Homey???Huku kwangu
NdioHomey???
Direction plzzzNdio
Baby-boyii inabidi uanze na vitu lain lain" kwanza...usije komaza utumbo wetu bureehakuna iftar kama dona kwa kitimoto choma!
Maza mimi nakula sana!, vitu laini laini ni kwa wanaume wa Dar, mimi nafuturu ugali mgumu!Baby-boyii inabidi uanze na vitu lain lain" kwanza...usije komaza utumbo wetu buree
Fuata ile njia ya siku zote hadi mwisho ndio hapo hapoDirection plzzz
Nasikia daraja pale limevunjika🙄Fuata ile njia ya siku zote hadi mwisho ndio hapo hapo
Mwanangu jomoniiiiMaza mimi nakula sana!, vitu laini laini ni kwa wanaume wa Dar, mimi nafuturu ugali mgumu!
wapi uko; mbona coordinates za location hujatuwekea; nije kunywa uji wa mchele wa pilipili manga na magimbi\mihogo ya Nazi.Asalaam Alaykhum,.za jioni wapenzi wa mahanjam,masotojo,madiko-diko,.wale wapendao kula vilivyo bora na sio bora kula tuu nawasalim tenaa "asalaam Alaykhum,waalaykhum salaam"😊
Haya,.mida ndio hii ya kuelekea kupata iftar yetu kwa wale mlojaaliwa kufunga basi inshaallah Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi,..sasa em tujuzane wakati huu wa ramadan wewe unapendelea kufturu nini hasa,.Mimi leo nimepata fursa ya kumuandalia mteja iftar mahsusi ya vitu hivi simple;
~uji wa mchele wenye pilipili manga
~chapatti za maji/Mayai
~kebab,samosa ya nyama na vitumbua
~chai ya viungo(green tea)
~magimbi na mihogo ya nazi
~maharage ya viungo+Nazi
~korosho za viungo(special oda)
~sauce ya nyama yenye pilipili
~tambi plain na juice ya matunda fresh......MashAllah😋
Em niambie tafadhali,wewe unapendelea iftar ipi hasa wakati huu wa ramadan,.Ikinipendeza basi chungu/funga ya mwisho inshaallah nipike tujumuike wote.
Wabillah Tawfiq.
~MC~
Niambie kwanza unachopenda kula wakati wa kuftar..wapi uko; mbona coordinates za location hujatuwekea; nije kunywa uji wa mchele wa pilipili manga na magimbi\mihogo ya Nazi.
(Magimbi na mihogo) hii ndo ijaze sahani, maharage kidogo kwa pembeni na chapati mmoja ama mbili za maji; na uji wenye pili pili manga.Niambie kwanza unachopenda kula wakati wa kuftar..