D dmatemu JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 956 Reaction score 554 May 3, 2014 #1 Wadau haya magari yanauzwa yote, kihalali kabisa na kwa bei nzuri. Hata VX zipo, yote yapo katika hali nzuri tu na haya ni machache miongoni mwa mengi yaliyopo. Kwa mawasiliano zaidi 0713460709. Usiwe na shaka, gari umepata. Attachments 1399071895278.jpg 49.7 KB · Views: 207 1399071921558.jpg 38.7 KB · Views: 196 1399071944806.jpg 44.9 KB · Views: 193 1399071968915.jpg 60.1 KB · Views: 176 1399072025407.jpg 67.8 KB · Views: 181
Wadau haya magari yanauzwa yote, kihalali kabisa na kwa bei nzuri. Hata VX zipo, yote yapo katika hali nzuri tu na haya ni machache miongoni mwa mengi yaliyopo. Kwa mawasiliano zaidi 0713460709. Usiwe na shaka, gari umepata.
K kiruavunjo Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 153 Reaction score 32 May 3, 2014 #3 nidokezee kurga mnayo ya mwaka gani na bei gani?
D dmatemu JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 956 Reaction score 554 May 3, 2014 Thread starter #4 Bei ni tofauti kwa gari tofauti ndugu, pia kuna maelewano, sasa wengine wakiona bei wanaweza kukimbia. Karibu kwa mawasiliano zaidi
Bei ni tofauti kwa gari tofauti ndugu, pia kuna maelewano, sasa wengine wakiona bei wanaweza kukimbia. Karibu kwa mawasiliano zaidi
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,230 Reaction score 15,641 May 3, 2014 #5 Wapi mnapatikana?...
D dmatemu JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 956 Reaction score 554 May 3, 2014 Thread starter #6 Tupo Arusha ndugu