Unamjua Pacha wa Trump?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,147
Reaction score
20,085
Wazungu wanafiki sana, wanadai sisi watu weusi tunafanana na yani. Nikukua sijawahi kujua kuna nyani weupe na weusi.

Leo niliku naangalia National Geographic Channel Wild kipindi cha Weird Faces ndio nikaona nyani wepe tena wanafanana sana na wazungu.

Angaia mwenyewe.
 

Attachments

  • IMG_20170417_084125.jpg
    98.3 KB · Views: 44
Tatizo sis waafrika hatujikubar aisee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…