una nyumba yenye hati kaa chonjo na utapeli huu

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Atakuja mtu atakuambia nina biashara nahitaji mkopo benki nyumba yangu haina hati naomba unidhamini nyumba yako nikope benki nitakupa asante ya tsh mil 15 na pia nyumba yangu nitaiweka rehani ili nikishindwa kulipa mkopo uiuze ufidie deni la benki ukitoa hati yako umekwisha akipata mkopo harejeshi deni,anaingia mitini nyumba aliyoweka rehani either siyo yake au iko eneo lisiloruhusiwa means itavunjwa soon usilogwe ukatoa hati utakuja lizwa benki itakapouza nyumba yako kwa asante uliyopewa ya tsh 15m.When the deal is too good u have to think twice!
 
huu sio utapeli huu ni wizi wa kitoto
anaeibiwa ni mjinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…