una nyumba yenye hati kaa chonjo na utapeli huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

una nyumba yenye hati kaa chonjo na utapeli huu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Aug 13, 2011.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Atakuja mtu atakuambia nina biashara nahitaji mkopo benki nyumba yangu haina hati naomba unidhamini nyumba yako nikope benki nitakupa asante ya tsh mil 15 na pia nyumba yangu nitaiweka rehani ili nikishindwa kulipa mkopo uiuze ufidie deni la benki ukitoa hati yako umekwisha akipata mkopo harejeshi deni,anaingia mitini nyumba aliyoweka rehani either siyo yake au iko eneo lisiloruhusiwa means itavunjwa soon usilogwe ukatoa hati utakuja lizwa benki itakapouza nyumba yako kwa asante uliyopewa ya tsh 15m.When the deal is too good u have to think twice!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  huu sio utapeli huu ni wizi wa kitoto
  anaeibiwa ni mjinga tu
   
Loading...