UNA MPANGOOOOO!!!?

George johnson

Senior Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
107
Reaction score
82
Niwe tu mkwel jamanii, moja kati ya company za mawasiliano nchin zenye matangazo mazur ya kutangaza huduma na bidhaa zao ni TIGO bna.

Hawa jamaa ni wabnifu sna hasa nikkumbuka toka kpnd kile cha tngazo la Duuuh! Duuuh! na sasa hiv hilo tangazo ambalo nackia saut ya ENOCK BELA yule Mzee wa UNA RAMBOOOO.

ka kna lingne unalfaham ni tangazo tam sana kulickiliza hebu litaje.
 
Ukishakunywa mapombe yako usiwe unapost vitu jf usiku, ni tabia mbaya sana aise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…