Kabla ya yote inabidi ujue haya kiongozi kwamba kama unafanya kazi UNDP kama national yani unafanya kazi kwenye nchi ya utaifa wako salary inakua kubwa lakini si kama hiyo utakayo ikuta kwenye hizo categories za UNDP au UN salaries ili uwe applicable kwenye hizo unazozitafuta inabidi uwe international na mkataba wako unakua kutoka Geneva or whatever that is from..