mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,136
- 1,919
Wewe ni mshamba na utakuwa umekataliwa kwenye kikundi Cha kabila lenu.Ni miaka zaidi ya 60 tangu tupate uhuru na hata kufikia muungano na kutengeneza taifa linaitwa Tanzania. Punde baada ya uhuru Mwl. J.K.Nyerere alitangaza maadui wa maendeleo; Ujing,Umaskini na Maradhi. Mikakati mbalimbali ilibuniwa na kutekelezwa kupambana na maadui hao hadi leo.
Ila inasikitisha na kuhuzunisha uanzishwaji na uendeshaji wa umoja wa makabila unaofanya na wanafunzi wa elimu ya juu katika vyuo mbalimbali, mf;Umoja wa wakinga, Umoja wa Warangi,Umoja wa wahaya, Umoja wa wachaga, nk
Ni ushamba na ufinyu wa fikra unaodhihirishwa na wasomi wetu.Ningetegemea waanzishe umoja na makundi mengine ya wataalamu ili kukuza taaluma au ujuzi katika viwango vya juu kwa manufaa ya Taifa. Muendelezo wa ukabila kwa namna yoyote katika vyuo vya elimu ya juu ni ufinyu wa fikra na uthibitisho wa umaskini wa fikra wa wasomi wetu. Badilikeni vijana na wasomi wetu, tupinge ukabila na hata udini kwani ni adui wa maendeleo katika taifa lolote.
Na UKWATA, CCT n.k tuuite udini vyuoni?Ni miaka zaidi ya 60 tangu tupate uhuru na hata kufikia muungano na kutengeneza taifa linaitwa Tanzania. Punde baada ya uhuru Mwl. J.K.Nyerere alitangaza maadui wa maendeleo; Ujing,Umaskini na Maradhi. Mikakati mbalimbali ilibuniwa na kutekelezwa kupambana na maadui hao hadi leo.
Ila inasikitisha na kuhuzunisha uanzishwaji na uendeshaji wa umoja wa makabila unaofanya na wanafunzi wa elimu ya juu katika vyuo mbalimbali, mf;Umoja wa wakinga, Umoja wa Warangi,Umoja wa wahaya, Umoja wa wachaga, nk
Ni ushamba na ufinyu wa fikra unaodhihirishwa na wasomi wetu.Ningetegemea waanzishe umoja na makundi mengine ya wataalamu ili kukuza taaluma au ujuzi katika viwango vya juu kwa manufaa ya Taifa. Muendelezo wa ukabila kwa namna yoyote katika vyuo vya elimu ya juu ni ufinyu wa fikra na uthibitisho wa umaskini wa fikra wa wasomi wetu. Badilikeni vijana na wasomi wetu, tupinge ukabila na hata udini kwani ni adui wa maendeleo katika taifa lolote.
Wewe ndiyo mshamba sasa kama hujui.Ni miaka zaidi ya 60 tangu tupate uhuru na hata kufikia muungano na kutengeneza taifa linaitwa Tanzania. Punde baada ya uhuru Mwl. J.K.Nyerere alitangaza maadui wa maendeleo; Ujing,Umaskini na Maradhi. Mikakati mbalimbali ilibuniwa na kutekelezwa kupambana na maadui hao hadi leo.
Ila inasikitisha na kuhuzunisha uanzishwaji na uendeshaji wa umoja wa makabila unaofanya na wanafunzi wa elimu ya juu katika vyuo mbalimbali, mf;Umoja wa wakinga, Umoja wa Warangi,Umoja wa wahaya, Umoja wa wachaga, nk
Ni ushamba na ufinyu wa fikra unaodhihirishwa na wasomi wetu.Ningetegemea waanzishe umoja na makundi mengine ya wataalamu ili kukuza taaluma au ujuzi katika viwango vya juu kwa manufaa ya Taifa. Muendelezo wa ukabila kwa namna yoyote katika vyuo vya elimu ya juu ni ufinyu wa fikra na uthibitisho wa umaskini wa fikra wa wasomi wetu. Badilikeni vijana na wasomi wetu, tupinge ukabila na hata udini kwani ni adui wa maendeleo katika taifa lolote.
Jf watu wana visirani🙌😂Wewe ndo mshamba, nani kabaguliwa kupitia huo udini au kabila??
sikuzote mshamba akijidai kuwa mjanja ndo anazidi kuharibu, wacha ushamba.
Jamaa mshamba sana. Anaungwa mkono uwepo wa UKWATA, TyCS, CASFETTA na mengineyo, lakini eti Umoja wa Makabila usiwepo.Na UKWATA, CCT n.k tuuite udini vyuoni?
chenga sana huyo kijanaJamaa mshamba sana. Anaungwa mkono uwepo wa UKWATA, TyCS, CASFETTA na mengineyo, lakini eti Umoja wa Makabila usiwepo.
huo ni umoja wa kurahisiha ngono kupitia makabilaNi miaka zaidi ya 60 tangu tupate uhuru na hata kufikia muungano na kutengeneza taifa linaitwa Tanzania. Punde baada ya uhuru Mwl. J.K.Nyerere alitangaza maadui wa maendeleo; Ujing,Umaskini na Maradhi. Mikakati mbalimbali ilibuniwa na kutekelezwa kupambana na maadui hao hadi leo.
Ila inasikitisha na kuhuzunisha uanzishwaji na uendeshaji wa umoja wa makabila unaofanya na wanafunzi wa elimu ya juu katika vyuo mbalimbali, mf;Umoja wa wakinga, Umoja wa Warangi,Umoja wa wahaya, Umoja wa wachaga, nk
Ni ushamba na ufinyu wa fikra unaodhihirishwa na wasomi wetu.Ningetegemea waanzishe umoja na makundi mengine ya wataalamu ili kukuza taaluma au ujuzi katika viwango vya juu kwa manufaa ya Taifa. Muendelezo wa ukabila kwa namna yoyote katika vyuo vya elimu ya juu ni ufinyu wa fikra na uthibitisho wa umaskini wa fikra wa wasomi wetu. Badilikeni vijana na wasomi wetu, tupinge ukabila na hata udini kwani ni adui wa maendeleo katika taifa lolote.
Wewe ni miongoni mwa watanzania wachache wenye fikra pevu."wanataka wakatambike?" In Mwl Nyerere voice.
Ila havijakaa vzr nadhani,maana hao hao wakiingia makazini pia wataitana kwa ukabila kwenye ajira.
Upo sahihihuo ni umoja wa kurahisiha ngono kupitia makabila
Ipo mkuu waulize vijana ikiwemo udsm labda kama sasa imekufaHii sikuwahi kukutana nayo wakati nasoma, ulisomea wapi mkuu?
Ni vikindi huru kweli lakini athari zake katika jamii ya watu wanaojiita wasomi ni ushamba tu.Wewe ni mshamba na utakuwa umekataliwa kwenye kikundi Cha kabila lenu.
Hivi vikundi ni vizuri vipo Kwa ajili ya kushauriana,kusaidiana kwenye shida na raha na kukumbushana kuhusu Mila na desturi za makabila Yao.Na hii,haizuii mtu kujiunga na vikundi vingine
Ungekuwa mjanja ungebadili fikra zako katika karne hii ya sayansi na teknolojia.Dini na ukabila ni upuuzi tuWewe ndo mshamba, nani kabaguliwa kupitia izo dini au kabila??
siku zote mshamba akijidai kuwa mjanja ndo anazidi kuharibu, wacha ushamba.
ningekuwa najua ulipo ningekuja kukukwea makwenzi, shukuru keyboardUngekuwa mjanja ungebadili fikra zako katika karne hii ya sayansi na teknolojia.Dini na ukabila ni upuuzi tu
HII LAZIMA IKO SUA,UNAKUTA WATU WA MBULU WANAKAA DISCUSSION YA KILUGHA WAPUUZI WALE.Hii sikuwahi kukutana nayo wakati nasoma, ulisomea wapi mkuu?