Walikuona?Mwaka flani back in time maeneo ya COCO beach chini ya mwamba kuna kapango flani hivi sa nini nliwahi saana maana nlikua naishi maeneo ya walking distance, yaani mida ya saa7 nipo zangu coco nikapanda juu ya ule mwamba nikaona jua kali nikazama bondeni, La haula nkakuta nkema inajipigia mzigo live. mi kinyongee nkarudi zangu kwenye banda la kupumzikia pale koko.
Hatari sana aiseeMacho yaliona yakapeleka kwenye ubongo kuuliza hiki naona ni sawa?
Ubongo ukasema kimbia utasababisha mauaji.
Nikautii ubongo, nikatoka mbioo, kufika nyumbani akili ikaniambia umefumania bila kudhamiria wala kutarajia.
Chakufanya futa hiyo kumbukumbu kisha endelea mbele, akijirudi kubembeleza muendelee usikubali katuu sababu ile picha itajirudia kwenye ubongo nawe bila kutarajia utaanza kujawa na hasira kisha chuki na kitachofata ni hatari zaidi.
Nilishuhudia aliyekuwa mpenz wangu akimgegeda aliyenitambulisha kuwa ni family friend wao. Tangu hapo sijashuhudia tena watu wakigegedana zaidi ya bata.
Kasie Matata.
Duh kasinde poleeee KasieMacho yaliona yakapeleka kwenye ubongo kuuliza hiki naona ni sawa?
Ubongo ukasema kimbia utasababisha mauaji.
Nikautii ubongo, nikatoka mbioo, kufika nyumbani akili ikaniambia umefumania bila kudhamiria wala kutarajia.
Chakufanya futa hiyo kumbukumbu kisha endelea mbele, akijirudi kubembeleza muendelee usikubali katuu sababu ile picha itajirudia kwenye ubongo nawe bila kutarajia utaanza kujawa na hasira kisha chuki na kitachofata ni hatari zaidi.
Nilishuhudia aliyekuwa mpenz wangu akimgegeda aliyenitambulisha kuwa ni family friend wao. Tangu hapo sijashuhudia tena watu wakigegedana zaidi ya bata.
Kasie Matata.
Nalijua hilo eneo. Ni miamba imezunguka ila ukiwa kwa juu kuna tundu kubwa unaona chini. Ila kuna sehemu ya kujibanza hata mtu akisimama kwenye tundu hakuoni.Mwaka flani back in time maeneo ya COCO beach chini ya mwamba kuna kapango flani hivi sa nini nliwahi saana maana nlikua naishi maeneo ya walking distance, yaani mida ya saa7 nipo zangu coco nikapanda juu ya ule mwamba nikaona jua kali nikazama bondeni, La haula nkakuta nkema inajipigia mzigo live. mi kinyongee nkarudi zangu kwenye banda la kupumzikia pale koko.
Pole mpenzi..😜Macho yaliona yakapeleka kwenye ubongo kuuliza hiki naona ni sawa?
Ubongo ukasema kimbia utasababisha mauaji.
Nikautii ubongo, nikatoka mbioo, kufika nyumbani akili ikaniambia umefumania bila kudhamiria wala kutarajia.
Chakufanya futa hiyo kumbukumbu kisha endelea mbele, akijirudi kubembeleza muendelee usikubali katuu sababu ile picha itajirudia kwenye ubongo nawe bila kutarajia utaanza kujawa na hasira kisha chuki na kitachofata ni hatari zaidi.
Nilishuhudia aliyekuwa mpenz wangu akimgegeda aliyenitambulisha kuwa ni family friend wao. Tangu hapo sijashuhudia tena watu wakigegedana zaidi ya bata.
Kasie Matata.
sa Zamani kidogo kulikua na kama kapango flano hizi amazing kana mchanga mwingi maji yakipwaNalijua hilo eneo. Ni miamba imezunguka ila ukiwa kwa juu kuna tundu kubwa unaona chini. Ila kuna sehemu ya kujibanza hata mtu akisimama kwenye tundu hakuoni.
Nalifahamu sana....
Waliniona na jamaa alinikata jicho kali nikasepa kwa kukimbia sio kutembeaWalikuona?