Liumba ndo kamnunulia, umesahau zile rav4 kibao alizonunuliaga wasichana waliosoma uhasibu, na wengi wao hadi sasaivi wameshaziuza zile rav4 wanunue vyakula na lishe kwaajili ya VVU Ukimwi....majuto ni mjukuu, unaletewa ukimwi hivihivi na kibosile kupitia kwa wife wako anayeomba kazi na kukubali rushwa ya ngono..Mbwembwe zote umekuja ukifurahia umepata kazi serikalini,Taasisi za benk,Mashirikaya kimataifa Kwenye makampuni ya uwakili kumbe yote umenisaliti mkewangu umehonga kitu nilichokitolea mahali?????!!!Hapana inauma sana nimepoteza imani nawewe!!!Kumbe mbwembwe mume nimenunua gari yawezekana kibosile ndo kanunua??!!Nimekumbuka wimbo wa feruzi
No difference its just da same issueMahudhui yeye ni copy n pst kutoka magazeti ya leo mimi naonyesha kilio kwa wake zetu!
Its you to choose whereyou want to read there is three thread two is same source,and one is mostly likely the same!!Difine your desire mkuu!
Nafirahi kwa kuwa muwazi mimi nimefarijika ila kama bado unatafuta kazi weka prfsnl yako hapa hope mungu atakujalia.Kuna field na field ambazo kweli hutokea hivyo na pia mahala napo unapoomba hiyo kazi.
Bado naaply yashanikuta mengi tu na ndicho kinanikosesha kazi mpaka sasa
Kuna field na field ambazo kweli hutokea hivyo na pia mahala napo unapoomba hiyo kazi.
Bado naaply yashanikuta mengi tu na ndicho kinanikosesha kazi mpaka sasa