mkuu nimejiandikisha ila ni uhuni mtupu .Unaulizwa jina na umri tu ,huulizwi nyumba walaa nini na kwa hali ilvyo ukitaka kujiandikisha hata mitaa kumi unajiaandikisha ndo maana kuna baadhi ya sehemu kumekuwa na vurugu.
Hii njama ya CCM. Wanajua watu wengi wana vitmbulisho vya mpiga kura na watu wamewapania, ndo mana wanavifuta na kuandikisha upya ili wale njama ya kuandikisha CCM wengi. Na hivi hawatangazi sana ili watu wasijiandikishe, wale wachache watakaojiandikisha watakuwa ni ccm so siku ya uchaguzi wana uhakika wa kushinda...

Wewe usiende kujiandikisha ubaki unalalamika vivyo hivyo halafu CCM tukishinda ukeshe kwenye mitandao ya kijamii kulalama.
Jinga kabisa wewe.
Kwanzia tarehe 23-11-2014 hadi tarehe 29-11-2014 ndiyo siku za kujiandikisha ili uweze kupiga kura tarehe 14-12-2014 WAJULISHE WENGINE waliofikia umri wa miaka 18 waliozaliwa 1996 kabla ya tarehe 15 mwezi wa 12 wote wakajiandishe MAPEMA.na vile vitambulisho vya kura havitatumika kwenye uchaguzi huu.jiandikishe kwenye mtaa wako unaolala na kuamkia.tuma sms kwa wengine wapate elimu hii."KATIKA MUNGU TUNAAMINI"[/QUOTE
Naaaam,mhm sana hii
Lohhhooo hiii kali
Wapi huko?
vyama husika vingekuwa vinafanya zoezi la kuhimiza watu kujiandikisha.ukawa mnahitajika kuona mbali ,mkizinguka nnchi nzima bila kuhimiza watu kujiandikisha kwanza itakuwa ni kazi Bure
Sijiandikishi nimechoka