๐จ๐บ๐ฒ๐ถ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ!!!
View attachment 3143049
Je umepoteza au kuibiwa simu na unahitaji kulinda data (taarifa) zilizopo ndani ya simu yako. Kuna kitu kinaitwa remote lock unakijua ??
View attachment 3143050
Najua wengi hawajui hii ni feature nzuri sana inayosaidia watu kuweza kufunga simu yake ikitokea simu iyo imeibiwa au kupotea kwenye mazingira ambayo sio salama.
Jinsi ya kufanya sasa ๐
๐ Fungua setting kwenye simu yako
View attachment 3143051
๐ Tafuta "Google" Kisha All service Kisha theft protection
View attachment 3143052
๐ Chagua remote lock weka on
Ili kukamilisha usajili utaweka namba yako ili iwe verified utabonyeza verify namba Kisha weka on Automatically verify phone numbers.
View attachment 3143053
View attachment 3143054
View attachment 3143055
Ikitokea sasa simu yako imeibiwa au kupotea inabidi ufanye hivi ingia kwenye hii site android.com/lock weka namba yako ya simu Kuna repatcha image itatokea kupitia maswali jibu.
View attachment 3143056
Ukimaliza sasa utaweza kuizuia simu yako kuibiwa kirahisi kwani ikitokea simu iko offline basi siku yoyote ikiwa online itajifunga navytaweza kuwa unlock kupitia skrini lock ya simu yako.
#bongotech255