Ulimwengu wa kiarabu katika machafuko makubwa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,558
Reaction score
31,966
Haya yameendelea kwa miaka kadhaa sasa katika ulimwengu wa kiarabu hali si shwari. Kila nchi ukiangalia kwa makini hasa yale yaliyokuwa mataifa yenye nguvu katika ulimwengu huo yamekuwa na wakati mgumu. Angalia Libya, Iraq, Misri na Syria. Mataifa ambayo yalikuwa na nguvu kiasi flani katika ulimwengu wa kiarabu.

Swali ni nini chanzo cha kuanguka kwao au kuwa katika machafuko haya? Jibu jepesi litakuwa mataifa ya magharibi au Marekani. Lakini kwa wasomi tunapaswa kuingia ndani zaidi. Hali yake ilikuaje toka kitambo na nini ni tatizo kubwa.

Mataifa ya kiarabu hayakuundwa kuishi kidemokrasia. Na ndo maana unayaona ni yenye machafuko makali sana.

Ni mataifa ambayo watu hutawala kwa upanga na kama huamini kuna hizi data hapa kuhusiana na hali iliyoko sasa hasa ukienda Iraq baada ya kuangushwa Saddam Hussein, ukienda Libya baada ya kuangushwa Muammar Ghadafi na pengine aliyekuwa akionekana kama mpiganaji wa waislamu/waarab Osama bin Laden.

Hatimaye tena nchi nying za kiarab hazijatulia kwa miaka mingi hata baada ya kondolewa watawala wa mikono ya chuma.

==========
 
Naona kama ndio kwaanza kunafukuta moto bado haujaanza kuwaka.
 
Tatizo ninaona ni mafundisho yao ya maisha juu ya visasi, mauaji ya kikatili na chuki isiyorudi vikisimamiwa na kivuli cha uteklezaji wa sheria katili za dini. Mafundisho kwamba vitendo vya kikatili dhidi ya ubinadamu kwamba ni amri ya dini na amri hiyo inatoka kwa mungu aliyejuu ya wanadamu, kumewafanya wajipe moyo na ujasiri wa kufanya unyama wowote bila kutaka wala kukubali kufanya suluhu.

Hili ninaweza matumizi mabaya ya dini kwa lengo la kuhalalisha unyama na uovu dhidi ya wengine. Ni matumizi mabaya kwa sababu mungu hata kama simjui mungu wao, siamini ameagiza umwagaji damu na hakuan chemmbe ya upendo, msamaha, amani wala utu.

Kama ndivyo kweli kwamba nchi hizo zinafuata sheria za Mungu wao kwa kasi na nguvu hivyo, kwa nini sheria za ukatili na mauaji tu dizo zishike hatamu bila kujali sheria zingine za mungu huyo huyo zihusuzo amani, mapatano na misamaha?

Hakuna mungu bali ni manipulations za kuhalalisha tamaa ya ubinafisi,ukatili dhidi ya binadamu wengine, chuki na udanganyifu wa yeyote mwenye nguvu ama mwenye nia ya kutenda uharifu.

Tatizo lingien ni inbreds. Hawa watu wanaoana ndugu kwa ndugu an wanazaliana kutoka ndugu wa damu kwa vizazi na vizazi. Wataalamu wa biolojia wanasema ndugu wa damu akizaa na ndugu wa damu watazaa watoto walemavu wa vioungo mbali mbali ikiwemo ubongo.

Kwa kadiri wanavyozidi kuingiliana na kuzalina ndani kwa ndani ni dhahiri genes za ulemavu huo zinazidi kuimarika na kuendelea vizazi kwa vizazi. Katika mafundisho yaliyoshamiri ubwana, uonevu, ubabe,chuki na visasi bila misamaha wala mapatano, vichaa hawa wanazidi kuaminishwa kwamba hiyo ndiyo dunia.

Kwa sababu hiyo, unaona wanaweza kuchukua silaha na kuua , kusingizia watu na kufanya uovu usiokuwepo hata kwa wanyama kwa binadamu wenzao bila kupepesa macho na la ajabu bila sababu ya msingi kwa sababu hawana akili za ku reason.

Mfano sikutegemea mtu mwenye akili ataua mama yake au kaka yake halafu akiulizwa aseme "Nimeua kwa sababu kuna jirani alileta panga, ama shoka ama mkuki hapa, halafu akaniambia niwaue". Hii ni kwa inbreds tu an watu wenye taahira za ubongo.

Tabia ya watawala na jamii yao ya kujilind adhidi ya elimu za imani na maisha kutoka sehemu zingine, imewafanya wasiwe na upeo mpana hata juu ya wanachokaimini ni mungu. Elimu nyingine wamenyinmwa wasije kujanjaruka, hawamjui hata Mungu kwa kuwa hakuna imani inaruhusiwa kuhubiriwa zaidi ya kile kinachowalinda wenyenguvu.

Hivyo kutokujua ukweli wa mambo kwa mitazamo mipana ingawa watu hoa hao utawasikia wanalazimisha kila mahali wakienda wao waruhusiwe kusali na kuhubiri mungu wao wakati kwao marufuku watu kufundishwa juu ya Mungu. Na hii imeeafanya wakose maarifa na kuwa na upeo mdogo mno juu ya kila kitu zaidi ya ubishi na ubabe wa kuua watu.

Kukosa muunganiko wa kimataifa zaidi ya kujibagua na binadamu wengine kunawafanya wawe kama wanyama wa mbugani.

Uharifu huo utaendelea hadi kabisa mifumo kadhaa ibadilishwe kule na hata kama wataua dunia nzima, bado wataendelea kumalizana wao kwa wao kwa kuwa hawana uwezo wa kufikirii vizuri na hawana maarifa zaidi na hata dhamira ya utu hawana.

Kwao kila dispute, suluhi ni mauaji. Ujinga!.
 
waarabu wako ulaya kwa kazi moja tu..kuwapa mimba wazungu ili waitawale dunia
 
Tatizo la kwanza la waarabu kwanza ni wajinga, yaani wamepewa elimu kubwa lakini hawawezi itumia wamepewa rasilimali za asili lakini walivyowajinga wanazitumia hizo hizo rasilimali kuwaangamiza waarabu wenzao .mfano saudi arabia anavyowafanya hamna wa Syria na Iraq. Kingine wana elimu ya dini lakini hawaitumii ipasavyo.

Unajua uislam unaruhusu kulipiza kisasi ila ukifata sheria kali za kutimiza ili ulipize kisasi utakuta dini yenyewe inakufunga na kukufanya hata umsamehe aliyekukosea. Kingine hawana umoja ni kama waafrica tu waarabu ni vibaraka wa wazungu. Sijui kwanini hawataki kuwa huru kama wa Asia.

Unajua waaarabu ni wanafki sana mi naaawambia tena wachonganishi sana japo ya kupewa neeema ya elimu wao elimu akhera na dunia wanaotumia vibaya ukiachia hayo pia udini yani mfano wa shia na ssuni na wahabi.

Utakuta hawapatani tena kwa kitu kidogo mpaka inafikia hatua wanajilipua ili kumuuua mshia unaona walivyo na akili finyu na wakati hawajifunzi mbona wakristo wana madhehebu kibao lakini hutokaa sikia mlutherani anabeba silaha kumpiga mkatoliki, ila utakuta muarabu mfano saudi arabia anamtumia mmarekani kumnyong'onyeza msyria kwa siri na kuwajaza watu uongo nikimaanisha brain washined kwa kiingereza na kuidhohofisha syria kisa ye saudi arabia haipendi russia na anaogopa biashara ya mafuta ya syria itakuja kuyumbisha uchumi wake.

Ni ujinga tu hawana lolote na hawatokaaa kufanikiwa wasivyobadilika..
 
Dini zinapaswa kuwa vyombo vya kuleta amani na utangamano duniani badala ya mafarakano. Ubinadamu na utu kwanza, dini baadaye. Binadamu wengi, kama sio wote, wana dini zao kuanzia kule mashariki ya mbali - Japan, Uchina, Korea, Nepali, Uhindini, hadi kule Magharibi kabisa mwa dunia - Marekani Kaskazini na Kusini. Kila mmoja akianza kuona yake ni bora kuliko ya mwingine, dunia haitakalika; muhimu heshima na uvumilivu kwa wengine. Amen.
 
Unaandika Gazeti reefu utumbo mtupu.
Ndoa za jinsia moja na Udhaliloshaji kingono wa Watoto mambo yalio tapakaa ktk makanisa Duniani Ulishawahi kujiuliza sababu.

Jaribu kufikiri kidogo we mtoto.
Sio kubwabwaja tu.
Eti" mafundisho yao.." halafu inaandika " wanaona ndugu..." ukashindwa kuelewa kuwa Mpk leo Falme zote DUNIANI wanaoana Ndugu wakiwemo Waingereza , Wa Dutch , Wachina mpk Wajapan..

We lini utakuja andika la maana humu? Yaani UKAFIRI umefunga ufahamu wako jumla.

Ovyoo.
 


Wwe ni pumbavu sana. Nenda ukavae mabomu ufe uwahi kwa shetani ambaye ni mungu wako. Ibilisi mkubwa. Pumbavu!
 
Wwe ni pumbavu sana. Nenda ukavae mabomu ufe uwahi kwa shetani ambaye ni mungu wako. Ibilisi mkubwa. Pumbavu!
Hili jamaa sen ge, linatafuta mabwana Kwa nguvu.
 
Hili jamaa sen ge, linatafuta mabwana Kwa nguvu.
Wanaotafuta mabwana huwaoni?
Hebu cheki hapa.





Halafu Paulo hajafundisha matusi bi mkubwa. We lzm utakuwa mjane tu.
Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…