Ulimwengu huu

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
1,851
Reaction score
2,771
[emoji24]FUTA MACHOZI Kuwa mtu mzuri ktk dunia hii yenye wingi wa lawama na visasi ni sawa na kuwa mlinzi wa GOLI uwanjani.. Haijalishi idadi ya magoli utakayo zuia langoni pako ila mashabik wako watakuchukia kwa kushndwa kuzuia Goli moja lililo wapa ushindi wapinzani wenu..

[emoji264]Udongo pamoja na uchafu wake lakin ndio huotesha mbegu nzuri za matunda yote matamu kama Apple...stroberry...zabibu..nanas..tikitii...
[emoji17]Kumbe kamwe usiogope mabaya yatayo semwa juu yako maana ndan yake kuna meng mazur ila wanajifanya hawaoni

[emoji1597]Weng hawapend shika mkaa wakihofia kuchafuka ila wanapenda sana chakula kilicho ivishwa ktk mkaa.. Kuna watu hawakupend lakin mafanikio yako yana wanyima usingiz na wanataman wawe kama wewe.

[emoji277]Rangi nyeusi huchukiwa na baadhi kwa madai rang ya msiban..lakin wapo ambao wanaipenda rangi hiyo kupita kiasi. Kumbe Sio wote ambao wanakuombea mabaya..wapo weng wenye kukutakia mema..
Futa machozi na utabasamu
Upo gizan washa mshumaa ndan ya moyo wako utakao mulika kuta zote zenye simanzi
Upweke
Kukata tamaa.na woga.

[emoji102]Usiwaogope walimwengu maana furaha yao pale unapo shindwa.wafanye wavimbe kwa wivu na hasira wanapo ona ukifanikiwa
 
Ubarikiwe sana mtoa uzi
 
Leo ibada Usharikani imeenda vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…