October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,124
- 1,983
Acha tuendelee na premioHheee! Kheri ya Mwaka mupya! Happy valentine Nye Nye nikawamiss Nye nyee.
Sikieni walahi sasa mambo kidogo huyu yapoa. Presha inepungua kidogo. Sasa apata usingizi na ahueni. Alhamdullah sio kama miezi mwili nyuma. Miye nakuja kuwajuza yule Ayatollah siku zake zabaki chache Sana. Nambiwa Passover heheee gameover. Hapo April. Tatizo nami Mbeya lakini mwajua nanyi mwataka kujua. Mayii! Na bado
Wewe tapeli tushakuchoka nina maFile yako mengi sanaHheee! Kheri ya Mwaka mupya! Happy valentine Nye Nye nikawamiss Nye nyee.
Sikieni walahi sasa mambo kidogo huyu yapoa. Presha inepungua kidogo. Sasa apata usingizi na ahueni. Alhamdullah sio kama miezi mwili nyuma. Miye nakuja kuwajuza yule Ayatollah siku zake zabaki chache Sana. Nambiwa Passover heheee gameover. Hapo April. Tatizo nami Mbeya lakini mwajua nanyi mwataka kujua. Mayii! Na bado
pepo lofa nipishilie mbali
Ngoja nipite hiviHivi ulipotelea wapi?
Sembe sio DonaTunauza unga siku hizi.
Pass Opium.
Pass Meth amphetamine.
Tunauza unga siku hizi.
Pass Opium.
Pass Meth amphetamine.
Wasalimiee 🤸🏽♀️Ngoja nipite hivi
Huyo kalewa sahizi anajilamba midomo akishalewa anakuja kutuandikia vioja vyake nani anataka, karibu tuchome kuni tuote moto huuku kuna bariidiWasalimiee 🤸🏽♀️
Huhuhu, Asante!Huyo kalewa sahizi anajilamba midomo akishalewa anakuja kutuandikia vioja vyake nani anataka, karibu tuchome kuni tuote moto huuku kuna bariidi