SALA YA KUMUOMBA MUNGU AWAFICHUE WANAOPANGA MAOVU DHIDI YA WAKRISTO (NA RAIA WEMA WENGINE)
Bwana Yesu, Mfalme na Kiongozi wetu, uwe nasi katika safari yetu ya Imani. Sisi tunaosadiki, tunaamini katika ahadi zako. Wewe ulisema: Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwamini Mungu niaminini nami pia Anayeniamini atafanya mambo makubwa ninayoyafanya mimi, naam atafanya hata makuu zaidi ..Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya(Yn 14:1,12,13).
Tunakuomba uwafichue wale wote wanaopanga na kutekeleza uovu, ili kufikia malengo yao yasiyo na tija. Ukweli ujulikane. Ee Bwana, inuka ujitetee. Usikifedheheshe kiti cha Ufalme wako. Waliokuinukia walegee. Nasi kondoo wako ututunze. Kama mboni ya jicho lako utulinde. Ee Mungu wa Amani utusikie. Nasi tutalisifu jina lako milele. Amina.
Siyo elimu ni imaniUuuuh! Elimu Yako?
Kujua tatizo ni sawa na kupata nusu ya suluhu yake.Mshaaanza chokochoko!
Kila mtu akae na imani yake hakuna ajuae ukweli!
Kujua tatizo ni sawa na kupata nusu ya suluhu yake.
Mbona unaonekana kukwazika na hili, limekugusa? Au ndo miongoni mwa wanaopanga na kutekeleza huo uovu? Kama umeona njia hii siyo effective pendekeza ya kwako, ili suluhisho lipatiakane.Kwa hiyo unatafuta suluhu???
Kwa hili huwezi pata....!! kwani imani zinatofautiana saana na kila mtu anajiona yeye ni zaidi ya wengine.
In short ur wasting ur time on this.
Manzese ya wapi Mkuu? Hapa nipo manzese mtwara ila hali ni shwari tu mbona?Hizi bunduki za wapi jamani? Naskia milio ya risasi huko Manzese
na mimi nimezisikia kwa mbali.Hizi bunduki za wapi jamani? Naskia milio ya risasi huko Manzese