Eti kiongozi anasimama anasema bila aibu et "Raisi wa FIFA kasema simba ina mpira mzuri kuliko Mamelodi " hyo ni dharau kiwango cha lami.
Nlishangaa hata one day before Derby kuna mashabiki wenzangu wa Simba wakaanza kusema tunampiga Utopolo, nkawauliza kwa kikosi kipi tulichonacho?
Yaan Simba daah Mungu atusaidie kwakweli, Imagine timu ilivyo na Mapengo ya wachezaji sijui yatajazwa lini.
Na afadhali tumetolewa maana tungefuzu semifinal viongozi Wasingeumia, inabidi na Derby ijayo tupigwe afu tuangukie Shirikisho hapo sawa.