Ivi nyie wabongo Ni watu wa Aina gani?1. Alienda Morocco mkewe akiwa hai?
2. Alikua hajui yote hayo kuhusu family?
3. Ni mchezaji peke yake huko Morocco ambae kafiwa na mke?
Hao wote ulio wataja walicheza mechi 5 wakarudi waliko toka?Ivi nyie wabongo Ni watu wa Aina gani?
Ronaldo karud man u means kafel juve?
Makambo je? Kafeli alikotoka?
Niyonzima alirudi yanga je alifel alikotoka?
Ni Mara ngapi okwi karud Simba?
Alafu why habari za chama kurudi Simba zinakomaliwa Sana hasa kwa mashabik wa Yanga? Nijuavyo kabla hajarudi yanga walimtamani Sana had kumshawishi na manara alikuwa kinara wa huu mchongo ,baada ya kufeli ndio haya tunayasikia.
Je chama angesain yanga haya unayoyasema ungeyaleta hapa?
Mbona naona Kama Kuna wivu wa kupindukia kwenye hili swala la chama?
Alafu hata Kama kafel amewah kutangaza njaa au msaada wowote wa kusaidiwa na mtu ?
Nikisema hizi Ni njama za kutaka kumtoa kwenye njia ntakua nakosea ?
Hapo yanga wapo akina fei ,job ambao wanapambwa kila cku kuwa Ni wachezaji wakubwa ,je wamewah itwa hata hapo Zambia kwa kina chama kukipiga? Kwahiyo tuje na kauli moja Sasa kuwa kumbe wachezaji wanaokipiga bongo Ni wale wote waliofeli?
Je Ni yupi kafel ambae hajawah vuka hata boda ya Burundi lakin anapambwa balaa na ambae kavuka boda kuja kudominate na kutengeneza jina nchini kwetu?
Ifike mahali kila mtu afanye anachoona yeye Ni sawa kwake ,watu husafir sehem za mbali lakin wasiporidhika na mazingira ya huko huamua kurud wanapoona mazingira Ni rafik kwao .
Nadhan ungefuatilia Kati ya Barkane na chama Nan aliomba mkataba uvunjwe na sio kuja na ngonjera.
Jamaa yako kacheza miezi 2 tu kashindwa? Angekaza kidogo hata msimu mmoja!Ivi nyie wabongo Ni watu wa Aina gani?

Makambo alicheza Horoya ya Guinea siyo kwa waarabu.Mbona ni mambo ya kawaida sana kwa wachezaji?.
Mifano michache- Samata alifeli Aston Villa - Akarudi kule alikotokea. Abdi Banda Alifeli South Africa - Amerejea Nyumbani. Makambo alifeli kwa waarabu karejea Yanga.
Thomas Ulimwengu pia karejea Mazembe. Okwi na nae alifeli Indonesia akarudi.
Tambwe na Kiiza walifeli hapa Bongo wakiambiwa wazee, waliondoka na sasa wamerejea
Ndio maisha yalivyo, kila mtu anaangalia maslahi yake binafsi, nafasi ya kucheza pamoja na mazingira ya nje ya uwanja. Kumbuka huyo Chama ni mtu wa 'tungi' kama ilivyo kwa Jonas Mkude, kule kwa waarabu hakuna mazingira wezeshi ya kwenda kushushia kinywaji kama ilivyo hapa Bongo.
Unatafuta ban ya makusudi.Clitoris Chama?