Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,278
Man of the matchTakwimu za Chama akiwa huko Morocco zikoje?
Unaelewa alicho andika mleta uzi au umekurupuka? kinachoongelewa kinahusu mpira au maisha ya mtu binafsi?Chama mwenye pesa nzuri na maisha bora ?
Wewe umefanikisha lipi maishani mwako?
Kuamua kutoka morocco ni maamuzi yake yeye na hakuachwa.
Tujifunze kuheshimu maisha ya watu!
No sio ajabu kwenye football,mbona fiston abdulrazak alifeli yanga na sasa yupo berkane?.
Niliposikia na kuona Aliyekuwa mchezaji wa Yanga Sc ya Tanzania [emoji1241] na Olympics Khouriba ya [emoji1173] kusajiliwa na klabu kubwa kama Renaissance Sportive de Berkane "Wafalme wa Falme Machungwa" nikajisemea mwenyewe.
.
BONGO TUNADUMAZWA NA
1- Uvivu wa kujituma
2- Uvivu wa Kutafakari
3- Kukosa Marafiki na washauri sahihi kufanikiwa
4- Ulimbukeni wa jamii ya kidigitali kuwarahishia maisha Watu WALIOONJA MAFANIKIO wakawabweteza kwa sifa , Starehe ilhali bado wana umasikini bila future
5- Tumeendekeza Misumari sana kwa chuki na Husda katika Industry.
Siwalaumu ila kuna eneo hatuko Sawa na sio wakweli sababu tunawaza leo na mbele ya ncha ya Pua na HATUJALI.
KUNA MUDA SISHANGAI WACHEZAJI BORA KUFELI LIGI YA TZ WAKADUMU KATIKA SOKA USHINDANI HUKU WATWANA WETU WAKIISHIA KWA LIKES NA FOLLOWERS NA WANAISHIA HAPA HAPA.
Leo naona Fiston Abdulrazak aliyewahi kuchuana na Odion Ighalo wa Nigeria magoli kimataifa anafeli Yanga Sc ila MVP anashindwa Batola Pro ambayo Aliyefeli Yanga aliweza kuhama toka Olympic Khouriba ya Morocco na kuwa replacement yake RS Berkane.
.
Kizazi bora hili Taifa wameelewa ama watasubiri kushawishiwa na madalali na influencers wasio na INFINITY GAME THEORY ?
.
Nimekufikirisha .
Ukiona Ni wimbo wako Shukrani.
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo hayastahili hata kuanzishiwa uziNimekufikirisha .
Ukiona Ni wimbo wako Shukrani.
1. Alienda Morocco mkewe akiwa hai?Chama kuondoka Morroco kuna mengi nyuma yake ndg
Mchezaji hawez kuwa mchezaji bora wa mechi then useme alifail
Naomba nikusaidie kukumbusha kuwa Chama alifiwa na mke miez kadhaa nyuma na akamwachia watoto
So ulezi wa wale watoto na mazinigira ya Moroco olikiwa shida kwake
Pili fatilia ujue mkataba wa simba nq chama swala la watoto lilikuwa priority
Chama amelazimisha kuondoka