Ukweli Kuhusu Wadada Waliokeketwa

Kwani mb haikusoma kwamba hakuna antenna?
 
siku hizi wanakeketwa wakia wachanga wapo wengi sanaaa unakuta mdada ankua mkubwa kashakatwa ajui ndio maana siku hizi imekua issue kweli
Yah ni kweli. Tunakoenda wapo watoto watawashtaki wazazi kwa haya mambo.
 
Mkuu nimecheka sana, ila hukujua tu kama unatembea na ninja( shaolin temple) ungejua game lingeendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…