Ukweli Kuhusu Wadada Waliokeketwa

Inategemea aina ipi ya ukeketaji zipo nyingi.
 
Duh...inasikitisha sana.itakuwa na wao hawana amani na hali waliyonayo. wazazi wamewakosea sana
Kweli mabinti wengi waliobahatika kupata elimu ya msingi na sekondari huwa hawapendi(baadhi yao hutoroka) kwasababu wanafundishwa madhara lakini kwasababu ya msukumo wa mila na wazazi inabidi wakubali . Lakini kama mzazi ni muelewa au msomi ,mdini hasa (WASABATO)huwa hawakeketi mabinti kabisa
 
Tobaaaaaaaaaa!!
 
Wako vizuri tu. Hakikisha unatumia mikao ya kukuna G -spot, pia uwe na pumzi za kutosha.
 
Dah.. Mie nko nae mmoja hapa kitaa..

Anaskia raha km kawaida. Na anapenda kichz mkunyenge wangu..

Ila hapendi niwai kumaliza. Na hakinai tendo..

Na anapenda kichz mikasi. Yani we mda wote ukimwambiaa NJOOOO, anajib poaa nakuja

Kwa hiyo sjawai kuhisi tofaut na madem wengnee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…