Ukweli Kuhusu Wadada Waliokeketwa

mimi nahisi hata kama nitakutana nae basi haitaniwia vyepesi kumtambua, wazoefu naomba elimu kidogo jinsi ya kuwatambua hawa watu.
 
Hahahahaha! Pole sana

Hawapendi kujulikana kama wamekeketwa na hata akishakuwa mpenzi wako hapendi uwahi kulijua hilo. Ila ukishajua akakubali ujue basi atakupenda zaidi. Maana hawapendi kuanzisha mahusiano mapya tena kwa kuhofia kujulikana sana.

Kazi huwa ngumu sana kwa sisi mabaharia na wachezaji wa Uvinza FC.
 
Pole sana...na walivyokuwa wazuri
 
Utamu wanao. Ila wao kuupata huo utamu kwenye kutiana ndio inakuwa ndoto.
 
[emoji44][emoji44][emoji44]Yaani nimehisi naangalia picha la kutisha sio kwa hii issue yako.
 
Duh...inasikitisha sana.itakuwa na wao hawana amani na hali waliyonayo. wazazi wamewakosea sana
 
Kuna mwanamke mmoja wa kimasai anagoma nipatia uchii..nafikiri tatizo ni ili

Weekend ntaleta mrejesho
 
Kwani hii ni bangi umekula mkuu!
 
Kuna mwanamke mmoja wa kimasai anagoma nipatia uchii..nafikiri tatizo ni ili

Weekend ntaleta mrejesho
Mkuu wew ni wa huko au umeamua kuchomoa lock liwalo na liwe??[emoji23][emoji23]kila laheri kiongoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…