LAWRENCE SIMION
Member
- Jul 27, 2019
- 20
- 15
So..umeweka na picha?Maisha hayana miujiza Bali ni jitihada.
Tusipokuwa kuwa na jitihada katika maisha yetu na kusubiria miujiza, Basi tutabaki kuzungumzia tuu mafanikio ya watu wengine.
Tupambane huku tukimtanguliza Mungu nasi tutafanikiwa.View attachment 1168944
Kawaida tuu, huo ndiyo ukweliSo..umeweka na picha?
AhsanteUmependeza
ok ila hapa siyo fb au istraMaisha hayana miujiza Bali ni jitihada.
Tusipokuwa kuwa na jitihada katika maisha yetu na kusubiria miujiza, Basi tutabaki kuzungumzia tuu mafanikio ya watu wengine.
Tupambane huku tukimtanguliza Mungu nasi tutafanikiwa.View attachment 1168944
AhsanteDogo karibu jf
Thanks for opinionok ila hapa siyo fb au istra
Lakini ndiyo uhalisia wa Mambo.Tafuta hela kijana, motivation quotes zitakuua
Nakubaliana na wewe. Miujiza katika maisha ipo, ila mm nilimaanisha wanaosubiria miujiza Bila kufanya kazi au kujishughulisha.My brother success in life comes from miracle(s) believe or not.
Utajiona unabidii kufanya jambo ila mafanikio ni miujiza tu. Jiulize unachoshindwa wewe mwenzio anafanikiwa, mifano ipo mingi.
Wapo waliosoma hawana kazi na kinyume chake. Wapo walioingia kwenye kilimo au biashara hizo hizo ambazo wengine wanafanya mwisho wameshindwa au kufanikiwa. Unapaswa utambue ni bahati yenye muujiza ndani yake.
Usidanganyike mtafute kwanza Mungu utaona maisha yako yakiwa poa sana.
Karibu jamvini Chris Mauki. Naona umemaliza digirii yako ya education chuo cha kikuu cha Iringa. Hongera sana.Maisha hayana miujiza Bali ni jitihada.