shukrani mkuu, nimekuelewa vizuriNyakati hizi watu wako desparate ndizo nyakati za matapeli kuvuna. Binafsi siamini tajiri anayejidai anamfundisha masikini kuwa tajiri. Huu ni mtego kwako lakini kwao wanavuna mipesa mingi sana.
Ukiona mtu anamlisha ng'ombe ujue yuko karibu kumchinja au kumuuza. Ukiambiwa ukileta wateja tutakupa commission ujue huo ni mradi wa wajanja, hizo pyramid ndiyo mitaji yao. Tajiri ana mfunza masikini njia za kuwa tajiri?! Hahaha hapo ndio wananipa wasiwasi hao watu, wamekua na roho nzuri ghafla. Kwanini wasigawe huo utajiri mkuubwa kama kweli wanatupenda. Lakini wao wanamnenepesha mbuzi kwa faida yao wamle nyama au wamuuze ghali.
Kumbuka UPATU, wakaja DECI, kuna ponzi scheme nyingi sana, nakushauri achana nazo.
Dunia hii shida, matatizo, na umasikini havitaisha. Usidanganywe kwasababu unashida ukadhani wao ndio muharobaini wa shida zako. Usidanganywe na mafanikio hewa, utaonyeshwa mafanikio kibao lakini tumia akili yako vizuri.
Usije ukawa kama wale wanaonunua kanga kariakoo, break ya kwanza kwa mchungaji akaibariki, mchungaji anapewa pesa kuibariki kanga. Halafu kanga haidumu pia.
Ushauri wangu fanya shughuli zako za halali, ila kama nawe ni mmoja wao basi ongeza bidii kutafuta wateja.
Ndio huyo huyo, pole sana mkuu na asante kwa kunifumbua machoHiyo IML ni uongo mtupu usiingie hapo, kuna jamaa mmoja hvi anajiita PROPHET ni mwizi sana hua anakuja morogoro kutoa semina ya forex ametuingiza mitini na mbali na hapo aka trade akaunti zetu na kuziunguza. PROPHET shame on you
Duh kwann usimwambie jamaa yako haya?Ndio huyo huyo, pole sana mkuu na asante kwa kunifumbua macho
Hahaha ma Prophet hadi huko kwenye miphorex?! Kweli Yesu karibia afike duniani. Huwa mnapewa pombe, au mnavutishwa bangi?! Mbona hawa watu nyie mnawaelewa vizuri na kwa urahisi sana?! Mi huwa siwaelewi kabisaaaa, na nisipoelewa sotoi hata thumni.Hiyo IML ni uongo mtupu usiingie hapo, kuna jamaa mmoja hvi anajiita PROPHET ni mwizi sana hua anakuja morogoro kutoa semina ya forex ametuingiza mitini na mbali na hapo aka trade akaunti zetu na kuziunguza. PROPHET shame on you
Hahaa basi ngoja apigwe akuletee mrejeshonimeshamwambia lakini tayari yeye ameshaingia na ndo alikua ananishawishi na mimi niingie
Sikuzote napenda kusema kwamba....Mnatuchosha kurudia hii sentensi kila siku. "Tuache kupenda vitonga, tufanye kazi halali za uzalishaji mali/huduma".
Thread closed. Kama mtu atakua bado hajaelewa huyo atakua ni kada wa network marketing na hizo schemesNyakati hizi watu wako desparate ndizo nyakati za matapeli kuvuna. Binafsi siamini tajiri anayejidai anamfundisha masikini kuwa tajiri. Huu ni mtego kwako lakini kwao wanavuna mipesa mingi sana.