Ukweli huchelewa ingawa huwepo

ndatama

Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
10
Reaction score
4
NI ACT AU CHADEMA

Ukweli Siku zote hujitenga na uongo haijalishi muda utaogharimu.

Kumekua tetesi kwa muda juu ya ufadhili wa fisadi nguli Lowasa kwa ACT, tetesi hizi zilifanywa kama propaganda na gumzo kwa wenzetu wa upande wa pili.

Moja kati ya vitu navyokumbuka ni kirefu cha neno ACT walivyokiunda A Akatwe C Ccm T tutampokea. Kwa busara na hekima tulivumilia.

Mungu sio Athumani wala John mungu in mungu Leo kaamua kuuonesha ukweli. Sijui watayapinga waliyoyasema juu ya ACT na Lowasa kisha kuupinga ufisadi walk origami kishka Lowasa kaufanya?

Akiba ya maneno in muhimu sana haswa kwa wanachama waliojiunga na vyama bila kuvielewa vyema vyama vyao.

Swali language kuu, Lowasa ni mdhamini wa CHADEMA au ACT???
 
Kesho fisadi nguli anaanza kuitwa kamanda
 
Akitubu lazima asamehewe na ataitwa MTU WA MUNGU.Atabatizwa na kuziacha dhambi zake za huko magambani na kuwa mtu safi.Kumbuka mfumo mbovu wa kifisadi wa ccm ndio uliowafikisha hapo.Kazi itakayofuata ni kurudisha rasimu ya 2 ya Mh Warioba itakayoua kabisa mifumo yote ya kishetani iliyoasisiwa na kulelewa na ccm.
 

Mkuu hakika wewe ni msomi na unauwezo mkubwa wa kuchanganua na kupambanua mambo..kumbe hao walikuwa na wivu sana.

Anyway...sisi tumefanya maamuzi sahihi wamebaki wao kufanya maamuzi magumu ya kuchukua makapi mafisadi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…