ukraine imekomboa vijiji vingapi hadi sasa?

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
RUSSIA anapewa kifurushi kinacho itwa HALICHACHI bando.
au yakwako tuu bandle.

ukraine hawana mda wa kupoteza.
wakikomboa kijiji wanawaachia Germany [emoji629] kazi ya kutegua mabom ya ardhin halaf wao wanasonga mbele kwa kasi ya 5G.

UKRAINE [emoji1255] hatuna muda wa kupoteza
mzigo unatakiwa kufika crimea ukiwa bado wamotomoto.



ahsanteni
 
Hapo kwenye mwezi wa 3 umetupiga na kitu kizito, maana mwezi wa 6 ndio zele anakiri wanamiliki 25% ya nchi wa 3 walikua azov steel, au labda washawahi miliki eneo kubwa zaidi ya hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…