TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
Itapatikana kwa sh ngapi?Achana na iPhone, Note 7 na Huawei, Phantom 6 kutoka Tecno itafunika zote kwa muundo wake, camera 21MP, processor 16GB ROM, GB kibao na muonekano mwembamba wa 4.69mm kuliko simu yoyote uliyowahi kuiona.
Kutoka kwa Millard Ayo Instagram page
Duh! 21MP
Haya ngoja nisubiri
Vip kuhusu internal storage
Tena ashindwe kabisa kufananisha Iphone na tecno!tecno hata iwe camera megapixel 300 still siwezi nunuaAcha kufananisha iPhone na vitu vya kijinga
Hapo ndio siwaelewi hawa TecnoUkiona simu haiko katika mtandao wa www.gsmarena.com ujue hilo ni famba,umepigwa changa la macho.
HahahahhhaHapo ndio siwaelewi hawa Tanesco
Wingi wa megapixels sio ubora wa camera! Kumbuka nokia n800 km sijakosea ilikua na 41mp!Duh! 21MP
Haya ngoja nisubiri
Vip kuhusu internal storage