Mh!Hata aibu hawaoni eti hii account haitokuwa kama ya kagera
Watu washavurugwaNasikia wamefungua na Acc kwa ajili ya kuchangia maafa ya MV nyerere..! Mwisho wa siku aseme mliponichagua nilisema kivuko kitazama...Kwa hili watatusamehe tu maana hela tulizochangia maafa zote hazikuwafikia walengwaa labda sasa watoe namba za wahusika tuwatumie direct au hela za marudio ya Uchaguzi zipelekwe huko...otherwise Mungu awalaze kwa Amani marehemu wote na Awatie nguvu wafiwa wote Amen.
Unaweza sema na hii nayo ni njia mpya ya kuingiza mapato serikalini!!Nasikia wamefungua na Acc kwa ajili ya kuchangia maafa ya MV nyerere..! Mwisho wa siku aseme mliponichagua nilisema kivuko kitazama...Kwa hili watatusamehe tu maana hela tulizochangia maafa zote hazikuwafikia walengwaa labda sasa watoe namba za wahusika tuwatumie direct au hela za marudio ya Uchaguzi zipelekwe huko...otherwise Mungu awalaze kwa Amani marehemu wote na Awatie nguvu wafiwa wote Amen.