Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,018
- 144,377
na wakati wa kwenda kuogaa ah ah ah😂😂labda uvae wakat wa kulala
Ona mahanithi wanavyolalamaNdio Nini Sasa hiki ugoro mtupu
Watazipiga marufuku kabla hazijaingia sokoni kwa madai ya taarifa za kiintelijensia na uchochezi.Anaandika Halima Mdee kupitia twitter:
Mnada Kanda Maalum Serengeti. Kuweza kushiriki piga 0712679651 kuweza kupata bidhaa za chama pendwa zikiwa na sura za Wapiganaji toka Kanda maalum! Unga mkono demokarasia ya Nchi yetu kwa kununua bidhaa yenye sura ya Ester Bulaya kutunisha mfuko wa Chama Kanda Maalum
View attachment 1240374
Na hii nayo ni bonge la ubunifu ila bado ukikutwa na hizi bidhaa unaweza kujikuta uko sero au TRA wakaja na ile kodi kama waliopigwa Acacia
View attachment 1240378
Siku hizi huyo Msiba watu wanamchukulia kama comedy na siku hizi bongo movie wamejiishia comedian aliyebakia Musibanauona uchokozi umeanza mapemaaa. Ila mtakiona tu. Musiba anawatosha
Upo wpuxNaona mnazidi kumuongezea mgonjwa presha...teh
Godbless lema aliotaga nini?Anaandika Halima Mdee kupitia twitter:
Mnada Kanda Maalum Serengeti. Kuweza kushiriki piga 0712679651 kuweza kupata bidhaa za chama pendwa zikiwa na sura za Wapiganaji toka Kanda maalum! Unga mkono demokarasia ya Nchi yetu kwa kununua bidhaa yenye sura ya Ester Bulaya kutunisha mfuko wa Chama Kanda Maalum
View attachment 1240374
Na hii nayo ni bonge la ubunifu ila bado ukikutwa na hizi bidhaa unaweza kujikuta uko sero au TRA wakaja na ile kodi kama waliopigwa Acacia
View attachment 1240378
Madee alikua Rais wa Manzese, Sio Jambo baya.Sasa na yeye kwanini kajiita Rais wa Bunda jina lake pekee lisingetosha?