Ukivaa hii t-shirt, sidhani kama utasalimika ingawa inapendeza na kuvutia miongoni mwa wapenda mabadiliko

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
42,401
2,000
Anaandika Halima Mdee kupitia twitter:

Mnada Kanda Maalum Serengeti. Kuweza kushiriki piga 0712679651 kuweza kupata bidhaa za chama pendwa zikiwa na sura za Wapiganaji toka Kanda maalum! Unga mkono demokarasia ya Nchi yetu kwa kununua bidhaa yenye sura ya Ester Bulaya kutunisha mfuko wa Chama Kanda Maalum

1571680381156.png

Na hii nayo ni bonge la ubunifu ila bado ukikutwa na hizi bidhaa unaweza kujikuta uko sero au TRA wakaja na ile kodi kama waliopigwa Acacia
1571680877069.png
 
LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
9,052
2,000
Hicho kitakuwa ni kitambulisho cha kukamatwa Na polis ccm.Nimemsikiliza Jana mbunge Wa ubungo saed kubenea kuhusu kufanyiwa hujuma dhidi ya kufanya mikutano yake Na wananchi nimeshangazwa sana.Kwa mfumo uliopo jeshi la polis linapaswa kufanyiwa marekebisho makubwa sana...
 
Boaziwaya

JF-Expert Member
Oct 21, 2019
755
1,000
Neno Raisi bora angalau liandikwe Laisi laweza leta maana zaidi na ikavalika bila problemueee
 
Gellangi

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
1,914
2,000
Anaandika Halima Mdee kupitia twitter:

Mnada Kanda Maalum Serengeti. Kuweza kushiriki piga 0712679651 kuweza kupata bidhaa za chama pendwa zikiwa na sura za Wapiganaji toka Kanda maalum! Unga mkono demokarasia ya Nchi yetu kwa kununua bidhaa yenye sura ya Ester Bulaya kutunisha mfuko wa Chama Kanda Maalum

View attachment 1240374

Na hii nayo ni bonge la ubunifu ila bado ukikutwa na hizi bidhaa unaweza kujikuta uko sero au TRA wakaja na ile kodi kama waliopigwa Acacia
View attachment 1240378
Watazipiga marufuku kabla hazijaingia sokoni kwa madai ya taarifa za kiintelijensia na uchochezi.
 
McCarthy

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
507
1,000
My humble opinion ni kwamba alipokosea ni pale alipoongeza sentensi "Rais wa Bunda". Nchi hii, Jamhuti ya Muungano wa Tanzania, kikatiba upande wa bara na kwa upande wa visiwani (kwa masuala ya Muungano) ina Rais mmoja tu na upande wa visiwani ina Rais mmoja tu na siyo vinginevyo. Hawa wawili wote huomba ridhaa ya mamlaka yao ya Urais kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa sheria. Kujiita Rais bila sifa hiyo na isivyo kwa mujibu wa sheria ni kosa kisheria na ni kutweza cheyo na ofisi ya Rais.

Nchi hii haijawahi kugawanyika vipande vipande vyenye Marais wake wasio na legal and people's legitimacy to that effect kama huyo Mhe. Bulaya.
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
15,626
2,000
Anaandika Halima Mdee kupitia twitter:

Mnada Kanda Maalum Serengeti. Kuweza kushiriki piga 0712679651 kuweza kupata bidhaa za chama pendwa zikiwa na sura za Wapiganaji toka Kanda maalum! Unga mkono demokarasia ya Nchi yetu kwa kununua bidhaa yenye sura ya Ester Bulaya kutunisha mfuko wa Chama Kanda Maalum

View attachment 1240374

Na hii nayo ni bonge la ubunifu ila bado ukikutwa na hizi bidhaa unaweza kujikuta uko sero au TRA wakaja na ile kodi kama waliopigwa Acacia
View attachment 1240378
Godbless lema aliotaga nini?
 
Cherenganya

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
2,216
2,000
Sasa na yeye kwanini kajiita Rais wa Bunda jina lake pekee lisingetosha?
Madee alikua Rais wa Manzese, Sio Jambo baya.

Hata hivyo Kama Lengo ni kutunisha mfuko wa jimbo shime Wana CHADEMA nunueni T-shirts na mags hizo.

Naunga mkono ubunifu huo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom