Ukisusa weye wenzio wala

twafa-kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
251
Reaction score
211
Jamani hii kauli si ya kwangu lakini nimekuwa nikiisikia mara nyingi..,sasa kilichonifanya niilete hapa jamvini muitolee maoni ni baada ya kumwona live mdada mmoja ambaye alikuwa serious akimjibu (inaonekana ni mpenzi wake wa kiume kulingana na mazingira ya maongezi) kuwa kama anaendelea kususa na kuringa basi wenzie wataendelea kula.,

MY TAKE;Ninaaamini kuringa na kususa ni sehemu ya kunogesha mapenzi.

Sasa kwa nini wasichana wengi wanaichukulia hali hiyo negatively.....,ila wenyewe ndo wawe wanawafanyia wenza wao...,HALAFU HIVI NI KWELI KUWA MWANAMKE HUWA HASUSIWI?
 
Mwanamke hasusiwi kwenye mambo fulani kwa sababu wanaume ndio wamekuwa wakianzisha sana. Ndio maana ukisusa anakushangaa ama hata kuhisi una tatizo.
 
Mwanamke hasusiwi kwenye mambo fulani kwa sababu wanaume ndio wamekuwa wakianzisha sana. Ndio maana ukisusa anakushangaa ama hata kuhisi una tatizo.
mambo yepi hayo mwanamke hasusiwi na mwanaume..,kuwa wazi
 
Unless atamke hayo maneno out of hasira...otherwise she will suffer the consequences
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…