Ukishikwa Shikamana

Huyu baunsa anajifanya mjanja kutumia maguvu mwenzie anatumia akili...haya aamue moja kupoteza silaha ya uanaume au vingenevyo….Hii inaitwa nipe nikupe!!!
 
hiyo inaitwa "nipumzishe kwa amani ila naondoa kizazi na kukupa kilema cha maisha".
 
Mtihani kwa baunsa..! Ondoa shingo naondoa paipu ushindwe kupiga mpomola na kubinuka kinyantuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…