UKIELEWA HIZI "nipe tafsri"

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Posts
518
Reaction score
593
SENTENSI ZIMETOA UTATA KWA WATU WALIPOZISIKIA BASI KAMA UKIZIELEWA SAIDIA KUEZIELEZA.
1:yule kbogoyo asiyekuwa na meno yote leo kakamatwa sokon anaiba anaiba mifupa ya nyumbu.
2:ule mmbu uliyotusumbua leo unapga kampeini kutokomeza maralia.
3:yulepaka aliyewekwa stoo leo anapga vita mauaji ya panya.
4:yule dada mrembo na yule kaka tanaxhati leo wameshindwa kutaja kwao wote wanasema kwao ni kijiji cha pili ukipta nyuma ya kijij kingne.
5:yule dada aliyemuaga mamaye anaenda kuolewa leo kakutwa kitandan kwa baba yake anasuka mkeka
6:yule aliyefunga ndoa na kukusanya zawadi ukumbini siye aliyetoka chumba amejfunga taulo ila ni jiran yake.
7:yule aliyekuwa golikipa dk45 za kwanza kipindi cha pili amekuja akiwa refalii akiwa na kpenga,saa na kadi mkonon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…