UKAWA watofautiana bungeni

Naona nawe umeanza juhudi za kuandika pumba ili upate wadhifa. Ongeza juhudi hujachelewa. Ukuu wa seheme sehemu unanukia.

KWANINI WABUNGE WA UKAWA WALITOFAUTIANA NA KUONEKANA WAKILUMBANA KWA MUDA KABLA YA KUTOKA NJE YA BUNGE?
Kazi ipo mwaka huu, SISI YETU MACHO TU
 
Acha uzushi ww ..mi nimeangalia hakukuwa na malumbano yyte ..wametoka kiustaarabu kabsa
Wanakuwa kama majuha kila asubuhi.
Nini kinawaasha asubuhi?
Bunge ndo linaisha hivvo, sijui watawahadithia mgomo wapiga kura?
 
Kutoka nje ya uwanja wa mapambano ni KUSHINDA au KUSHINDWA? Hao wasitufanye kama hatuna akili, tangu lini unapambana na mtu, kisha unaamua kuimbia mapambano halafu unawadanganya watu kuwa wewe ndiyo mshindi. Kimsingi hao wabunge wanaotokatoka nje wameshindwa. Zilizobaki ni kelele kelele tu za kujikosha kwa wananchi waliowapigia kura. Katika ya kawaida ni lazima watafute visingizio visivyo na kichwa wala miguu kwa ajili ya kuwadanganya wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…