Magufuli ni mchapakazi hodari, hana kashfa za ufisadi na mwadilifu HOJA NI HII ; mtu msafi atawezaje kufanya kazi ndani ya mfumo mchafu? Hivi ni kweli magufuli ataweza kupambana na ufisadi wakati ufisadi ni mfumo ndani ya sisiem ? Hao mawaziri watakao unda baraza la mawaziri si atawatoa ndani ya sisiem iliyo shindwa kudhiti ufisadi awamu zote? Kwa mtazamo wangu " is like an old wine in a new botle"