Hili la watu kung'ang'ania majimbo bila kufuata utaratibu wa makubaliano ya mgawanyo wa majimbo limewacost sana! Sasa Viongozi wa kitaifa UKAWA msikubali kumruhusu mtu achukue form ya kugombea kama hataki kufuata utaratibu, kama hataki mtoeni kwenye uanachama.
Hili pia limechangiwa sana na kuchelewesha kutoa mgawanyo wa majimbo, sasa ikiwezekana mgawanyo uwekwe mapema ikiwezekana hata mwaka mmoja kabla ili baadhi ya watu wasihangaike kujitengenezea mazingira mapema kwa kupoteza rasilimali zao.

Kuna majimbo yatakuwa wazi very soon and sporadically after the start of the Bunge..
Ushauri mzuri sana huu.
NB: Ila kwa yale majimbo ambayo hayajatangazwa ni haramu kwa mgombea wa UKAWA kukubali kuhesabu kura upya moja baada ya nyingine..!! Badala yake watumie na walazimishe kutumia documents za majumuisho toka vituoni..!!
Jimbo la mtatiro limenisikitisha sana
Mkuu, hilo tulishalisema likapuuzwa
https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/937748-kwanini-ukawa-itashindwa-vibaya-2.html